Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Taifa Stars Shaban
Ramadhani mwenye fulana nyeupe akifuatilia mchezo wa kirafi wa timu ya
taifa ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan. ukiwa ni mchezo wa
kujipima nguvu timu hiyo inayotarajia kushiri michezo ya kombe la
Chalenji Nchini Uganda,wiki ijayo.
Picha ya juu na chini ni mashabiki wa michezo Zanzibat wakifuatilia mchezo wa kirafiki wa timu ya Zanzibar 
Mchezaji wa timu ya Zanzibar All Stars akimpita beki wa timu ya Zanzibar
Heroes, katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguma uliofanyika uwanja
wa amaan timu ya Heroes imeshinda 3--O j
Picha na:- http://othmanmapara.blogspot.com
Post a Comment