Mrs Brdiget Katstriku ambaye ni Makamu wa Rais wa AAPAM Afrika Magharibi akichangia mada katika Mkutano wa siku tano unoendelea huko Zanzibar Beach Resort  wa kujadili Ustawishaji huduma za jamii na utawala bora (AAPAM).
Proff.P.S Reddy,kutoka Chuo kikuu cha Kwazulu-Natal akiwasilisha mada ya Usimamizi na tathmini ya utendaji kazi katika Manispaa ya Afrika Kusini katika Mkutano wa siku tano unoendelea huko Zanzibar Beach Resort  wa kujadili Ustawishaji huduma za jamii na utawala bora kwa Nchi za Afrika(AAPAM)
Proff.P.S Reddy,kutoka Chuo kikuu cha Kwazulu-Natal akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa wajumbe hawapo pichani katika  Mkutano wa siku tano unoendelea huko Zanzibar Beach Resort  wa kujadili Ustawishaji huduma za jamii na utawala bora kwa Nchi za Afrika(AAPAM)
Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar