
Millard Ayo na D Black
Staa wa hiphop kutoka nchini
Ghana D Black ambae ni mshindi wa tuzo ya Channel O 2012 (Most gifted
African west video of the year – falling) ameithibitishia AMPLIFAYA ya
CLOUDS FM kwenye exclusive interview kwamba ameingia kwenye list ya
mastaa wa Afrika waliofanya kolabo na wasanii wakubwa wa dunia.
Baada ya kuwasikia wakali kama P
Square na Rick Ross, D Banj na Good Music, STL na Mohombi, Ay na Romeo
pamoja na Lamya na wengine, D Black amesema ameongezeka kwenye hiyo list
baada ya kufanya kolabo na rapper Wale wa Maybach music.
D kasema hiyo kolabo
alionganishiwa na BET wakati alipokwenda kuhudhuria tuzo zao ambapo
alikutana na mastaa kibao na kufanya kolabo na kichwa kingine cha Cash
Money ambacho sio maarufu sana.

Wale.
Anasema haikua rahisi na wala
hakuna urahisi wa wasanii wa Marekani kukubali kolabo la nafasi yake ya
kuwa nominated kwenye tuzo za BET ndio kumetoa nguvu ya huo muunganiko.
Album yake mpya ina kolabo zaidi ya 10 zikiwemo za Fally Ipupa, Ice Prince na wengine.
Credit - Millard Ayo
Post a Comment