
The R&B Diva Rihanna
alionesha mashabiki wake kibao waliohudhuria 777 tour huko London kuwa
ubora wa kazi kwa ajili ya mashabiki wake ni kitu kikubwa sana na sio
bora liende.
RiRi alishindwa kuendelea
kuimba hit song ‘where have you been’ kwa sababu alisikia ubovu katika
sound iliyokuwa inatoka kwenye vyombo vya band yake aliyoikodi na sauti
yake kama ilikuwa imezidi mwangi, aliigeukia band hiyo akaiambia istop
halafu akainyeshea mbovu.
“Alright, what the f**k.
Stop this sh*t. What the f**k is that? Why is the track off from the
band? This is the bullsh*t we deal with when we are just doing a random
rock and roll tour with no rehearsal and sh*t."
Baadae akawageukia fans
wake na kuwaomba radhi kwa kile kilichotokea na kuwaambia wanaanza upya
track hiyo, “I apologize for everyone [live streaming] at home ...We are
going to start this one again from the top.” Baada ya hapo ubora wa
sound ulikuwa poa na akapiga show kali hadi mwisho.
Hii ilikuwa siku ya sita
ya tour ya Rihanna ‘777’ ambayo ilikuwa London, kabla ya show waandishi
wa habari waliambatana nae kwenye private jet yake walifanya vituko
wakiwa katika vyumba vyao kwa sababu walikuwa disappointed baada ya
kuona dalili za kutopata habari za ku-make headline toka kwa RiRi.
Inasemekana kuwa mara nyingi Rihanna alikuwa amejificha kwenye chumba
maalum ndani ya jet hiyo na alikataa kukutana na waandishi hao wa
habari.
Post a Comment