| Zawadi
ya kichanga chako...! Straika Sergio Aguerro wa Manchester City na timu
ya taifa ya Argentina (kulia) akimkabidhi straika mwenzake Lionel Messi
wa Argentina na klabu ya Barcelona, Lionel Messi zawadi maalum ya jezi
ya timu ya taifa lao kwa ajili ya mtoto wake wa kiume mwenye umri wa
wiki mbili, Thiago Lionel Messi. Hapa ni katika chumba wanacholala
wawili hawa pamoja wakiwa hotelini jijini Riyadh, Saudi Arabia ambako
kesho (Novemba 14) watashukla dimbani kucheza mechi yao ya kimataifa ya
kirafiki dhidi ya wenyeji Saudia kwenye Uwanja wa Mfalme Fahd jijini
Riyadh |
Post a Comment