Hatuachani tena mpaka kifo...!
Bwana harusi Godfrey Monyo akiwa mwenye furaha na mkewe Gadiosa Lamtey
kwenye Kanisa la Mt. Petro leo Jumamosi Novemba 10, 2012.
| Kama ndoto vile...! Bi. harusi Gadiosa Lamtey (kulia) akiteta jambo na mumewe, Godfrey Monyo. |
Bwana harusi Godfrey Monyo akila kiapo
Bibi harusi Gadiosa Lamtey akila kiapo
Pokea pete ya ndoa...!
| Angalieni na mvitunze vyeti vyenu vya ndoa...! |
| Hongereni sana...! 'Bandungu' na jamaa 'bakitoa' pongezi |
Picha ya pamoja na wapambe
Pozi la kumbukumbu ya wazazi na maharusi
Maharusi wakiwa na furaha tele
Post a Comment