HomeENTERTAINMENT Baby Madaha Anaswa Akinunua Makalio ya Bandia Hisia December 17, 2012 0 “Napenda sana makufuli yanayoweka shepu nzuri na huwa nafanya shopping hiyo mara mbili kwa mwezi,” alisema Baby Madaha na kuongeza: ...akichagua makufuli. Baby Madaha akilipa baada ya shopping hiyo. Katika shopping hiyo iliyofanyika katika duka moja lililopo maeneo ya Manyanya- Kinondoni jijini Dar, ‘kachala’ wa Wikienda Star Shopping alimshuhudia Baby Madaha akitungua makufuli hayo kadhaa.
Post a Comment