Hii ndiyo Audition iliyofanyika katika Maeneo ya Hospital ya kiaruki,lengo kubwa ni kusaka vipaji vya watu mbalimbali kama Dancers, Roll Skatters, Models, Dj’s bila kuwasahau Bikers.. Zoezi hili zima lina simamiwa na team nzima ya D’Wikend Chart Show.
Baada ya washindi kupatikana watapewa nafasi ya kuonyesha uwezo wao katika Street Bash ambayo inatarajia kufanyika siku za hivi karibuni.
Models
Dj’
Bikers
Dancer
Baada ya washindi kupatikana watapewa nafasi ya kuonyesha uwezo wao katika Street Bash ambayo inatarajia kufanyika siku za hivi karibuni.
Post a Comment