Chelsea yachapwa 1-0


Ashley Cole wa Chelsea (kulia) akiruka kumkabili mchezaji wa timu ya Corianthians, Jorge Enrique wakati wa mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia la Klabu uliochezwa Yokohama leo. Corianthians ilishinda 1-0

Post a Comment

Previous Post Next Post