Daz Naledge kufanya EP pamoja na Louis Hammock wa Wanene Ent.


Louis Hammock

Baada ya Msanii Louis Hammock Toka Wanene Ent. kuachia Mixtape yake iliyokua ikienda kwa jina la 'Untitled' kwa sasa anafanya tena kazi nyingine mpya chini ya Super Producer toka Utengwani (WATENGWA) Daz Naledge ili kuhakikisha fans wote wa mziki mzuri wanapata wanachokihitaji!!
Producer Daz Naledge
Kwa sasa waweza sikiliza kazi ya kwanza waliokwisha ifanya katika Project hiyo kwenye link hapo chini...!! Enjoy

http://waneneentertainment.com/upcoming/

Post a Comment

Previous Post Next Post