ISRAEL NKONGO ALIPOGEUKA REFA WA NDONDI LUGOGO


Refa Israel Nkongo wa Tanzania, akiamua ugomvi kati ya wachezaji wa Rwanda na Eritrea katika mchezo wa mwisho wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge uliofanyika Uwanja wa Lugogo jioni ya leo. Mwenye jezi namba nane (8) ni Nahodha wa Rwanda, Haruna Niyonzima, akumzuia mchezaji wake kugombana na mchezaji wa Eritrea kushoto. Rwanda ilishinda 2-0 na sasa itavaana na Tanzania katika Robo Fainali.

Post a Comment

Previous Post Next Post