JIDE AFUNGUKA JUU YA MWINYI, ASEMA JIBU LA KURUDI AU KUTORUDI KUNDINI MTALIPATA KWENYE DIARY YA LADY JAYDEE NDANI YA EATV PEKEE

Maoni ya wengi husaidia kubadilisha mawazo hata ya moyo uliokuwa mgumu kulainika, naheshimu mchango wa mawazo yenu kwani mmechukua muda wenu kuchangia swala la Mwinyigoha....Kumsamehe tulishamsamehe mimi na uongozi mzima wa MACHOZI BAND .

Ndio maana hatukuwahi kuongelea chochote kilichotokea kwa upole au kwa jazba kwenye Media yoyote, ila swala la yeye kurudi au kutorudi kundini mtaliona ndani y
a DIARY YA LADY JAYDEE

Ambapo wanamuziki wenzake waliobaki Machozi Band baada ya yeye kuondoka wanaliongelea vipi??, na yeye mwenyewe amejielezea vipi? Usikose kuangalia DIARY YA LADY JAYDEE ndani ya EATV PEKEE, Uso kwa uso na mama mzazi wa Mwinyi, Captain G pamoja na JIDE.......Sijakosea kuweka hii topic hapa, wanaoijua story toka mwanzo hawatanilaumu kwanini nime post...

Mbarikiwe kwa kuwa pamoja na mimi katika kila jambo....

Post a Comment

Previous Post Next Post