LADY JAYDEE: MWINYI ATAKAKURUDI MACHOZI BAND

Jay Dee & Mwiny

Mwinyi Goha mwanamitindo na muimbaji aliyekua machozi band na kufanya track kama Mtalimbo na nyingine nyingi akiwa pamoja na kundi hilo la majozi band ataka kuridi kundini baada ya kutoka katika kundi hilo kwa muda kidongo,
Leo mapema mwana dada Lady Jaydee mmiliki na kiongozi wa band hiyo alifunguka kupitia page yake ya FB na hiki ndicho alichosema.

" Nadhani wote mnamkumbuka Mwinyigoha, aliekuwa MACHOZI BAND kitambo. Baada ya yote yaliotokea na mlioyasikia anataka kurudishwa kundini, Naomba mvae kiatu changu..., Je ingekuwa wewe ni JIDE ungemsamehe na kumrudisha tena kazini?? Jiweke kwenye nafasi yangu unipe jibu..Tiririkaaaa"

Post a Comment

Previous Post Next Post