Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
(EWURA), Haruna Masebu (kushoto), Haruna Masebu akielezea utendaji wa
mamlaka hiyo wakati wa mkutano wa pamoja na wajumbe wa Jukwaa la
Wahariri Tanzania (TEF) wa kubadilishana mawazo, Dar es Salaam . Kulia
ni Mwenyekiti wa TEF, Absalom Kibanda ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa
Kampuni ya New Habari. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Post a Comment