Naweza kusema kwamba ni moja kati ya ma Director wakali ambao wanatokea pande za A town city katika production yake inayofahamika kama , kupitia katika production yake ameweza kufahamika,sasa latest infoz ni kwamba leo baada ya kupiga naye story amefunguka na kusema kwamba next year anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "Yeah Yeah Yeah"Kwa hiyo kaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwa Nisher.


Post a Comment