Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula (pili kulia)
akimkabidhi Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda(pili kushoto)
msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh milioni 10/- kwa ajili
ya timu zinazoshiriki mashindano ya kuwania Kombe la Meya wa Kinondoni
‘Kinondoni Mayor Cup 2012″ katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya
Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. Wakishuhudia ni Naibu Meya
kinondoni Songoro Mnyonge(Kushoto) na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya
mashindano hayo Sharif Maji.
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula (kati) pamoja na
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda (kushoto) na Naibu Meya
kinondoni Songoro Mnyonge wakiwa na vifaa vya michezo vyenye thamani ya
shilingi milioni 10/- vilivyokabidhiwa na Benki ya NMB.
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula (kulia)
akimkabidhi Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda (kati) mfano wa
hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10/- kwa ajili ya mashindano ya
Kombe la Meya wa Kinondoni, Dar es Salaam. akishuhudia ni Naibu Meya
kinondoni Songoro Mnyonge.
Post a Comment