![]() |
mabebs |
Jana Jioni washikaji kibao showed up to feature in the No Name
music video ambapo Producer wa long time in the game PFunk ametengeneza
mega track akiwashirikisah masuperproducers in the game wakiwemo Dunga
wa mandugu digital, Lamar kutoka Fishcrab, Akil the brain na John
Mahundi
Baadhi ya wasanii pia walikuwepo kama AY, Mwana Fa, Jay Mo, Vanessa
Mdee na wengineo katika kusanyiko hilo, ambalo lilikua viwanja vya mpira
wa vikapu vya Tanesco, where kunakua na Bball Kitaa kila Jumapili na
washikaji kama kina Rueben Ndege na Angela Damas pamoja na bball players
and lovers were also in tow.
We had fun na tukafanikiwa kupata picha za tukio hilo kama ifuatavyo, Enjoy!
Credit:- Bongo5
- Former Miss Tanzania Angela Damas ext to Mr. DJ
- Producer Dunga na Reuben Ndege
- Mabebs
- Mweuss Joh Makini
- Production Equipment za Adam Juma wa Next Level Productions
- Bataaa
- Nyama Nyomi
- Mzungu Kichaa na Dj Choka
- DJ Choka, Ay, na Majani
- Producer Akil the Brain
- Weka sound safi
- AY na Feza Kessy
- G-wara wara na Reuben Ndege
- Vanessa Mdee na Arthur
- AY, Vanessa Mdee na Joh Makini
- Mwimbaji Avril kutoka Kenya
- Video Director Adam Juma
- Feza Kessy
- Mababes
- Bball Baby
- Producer Dunga, Joh Makini na PFunk
- Former Miss Tanzania Angela Damas
- Former Miss Tanzania Angela Damas akishoot Hoops
- Kenyan Connection, Waimbaji Avril na Amani
- Back games crazy
- Jaymoe na Producer Dunga wa Mandugu Digital
- Super producer Lamar
- MwanaFA
- Jaymoe, WEUUUSSSIIII Commander in Chief Joh Makini na mshikaji full swagg
- Salama Jabir na Bestie yake waliona wakae kabisa…Msosi Muhimu
- Msosi pia ulikuwepo full
- Basketball Kitaa
- Wakijiachilia
- P Funk
- PFunk doing his thing
- Feza Kessy akishoot Hoops
- Jay Moe na Mwimabji Keysha pamoja na friend
- Producer John Mahundi na Gwara wara
- Jay Moe, PFunk, MwanaFA Producer Lamar
Post a Comment