HomeENTERTAINMENT PICHA ZA DIAMOND PLATNUM VS OMY DIMPOZ WALIVYOPAGAWAISHA USIKU WA XMASS DAR LIVE 25/12/2012 Hisia December 26, 2012 0 ...Chezea Diamond wewe! Watu weweee: Kila mmoja akiwa na shauku ya kumpa mkono Diamond. ...Leka dutigite: Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na Diamond wakiwapagawisha mashabiki kwa wimbo wa Leka dutigite. Ommy Dimpoz 'on da stage'! ...Dimpooo...zzz: Umati ukipiga yowe wakati Ommy Dimpoz akifanya kufuru stejini. ...Platinumz hewani: Diamond akiwa amebebwa juu na madansa wake. ...Nataka kulewa, zikinipanda nimwage radhi. ...Nature ua... Nature ua... Nature ua..: ndivyo Juma Nature alivyokuwa akienda sambamba kwa staili hiyo na mashabiki. ...Wanaume Halisi wakiendeleza libeneke ndani ya Dar Live. KR Muller akigonga mvinyo ndani ya mask. ...Zitto kazini: Siyo siasa tu, hata mistari mi mkali. Dimpoz na wasanii wake wakiwasha moto kuwakumbuka wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki.
Post a Comment