Mpaka sasa Nisher amethibitisha kuwa amefanya video na Belle 9 ,Bonta na anakuja Dar es salaam kufanya Video na Dj Choka.Itakuwa Video ya Press Play?
Hizi picha nimezikuta kwenye page ya Facebook ya Belle 9. Wimbo huu unaitwa Listen na Mtayarishaji ni Tiddy Hoter wa 1 Love FX Studios.
Post a Comment