Salamu Za Kuukabirisha Mwaka Mpya Wa 2013 Kutoka Kwa Dk. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka mpya wa 2013,kwa wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote kwa ujumla,pia aliwasihi wananchi kuendela kushirikiana   na Serikali yao katika kuendeleza mipando mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa walinzi wa rasilimali pia kuzingatia   taratibu za kisheria, kwa kuwa na elimu bora ya rasilimali hizo. 

 [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

Previous Post Next Post