SIKILIZA NGOMA MPYA KUTOKA VOICE OF AFRICA CHINI YA LINEX SUNDAY

Msani wa Bongo Fleva maarufu kama Linex Sunday baada ya kufanya vizuri katika ngoma zake mpaka kupelekea mashabiki kukubali kazi zake,sasa leo kupitia katika ukurasa wake ameamua kuachia ngoma mpya ya kundi lao linalofahamika kwa jina la Voice of Africa( V.O.A).Hii hapa http://bit.ly/VNaZay

Post a Comment

Previous Post Next Post