Baada mtoto wake wa kwanza Fiona kuchukuliwa na Mama sepetu... Leo wema
anamtambulisha kwenu Mwanae wa Kike Ivana... Mwenyewe anamwita Baby
VannY.... Wema anasema anampenda Mbwa wake kama mwanae wa kumzaa
mwenyewe...... So she is finaly a mother of one katoto.... Mama wa mbwa
mdogomdogo
Post a Comment