Katika
hali ya kustaajabisha Binti mmoja Nchini Nigeria alijikuta akiingia
katika matatizo makubwa pale alipolazimishwa kutembea Uchi njia
nzima...... Wakati mwandishi wetu akitupasha kuhusiana na tukio hilo
watu mbali mbali wamekuwa wakitoa maoni yao kwa kudai kuwa chanzo cha
hayo yote ni Binti huyo kula pesa ya jamaa ambaye alumwahidi mapenzi na
badala yake kumwacha ndani ya Gesti na Kutoroka......
Ndipo jamaa alipoamua kumtafuta Binti huyo katika viwanja vyake vya kujiuzia mwili wake na kumwangushia kipigokizito kabla ya kumvua Nguo zote na kumtembeza Uchi njia nzima..
Ndipo jamaa alipoamua kumtafuta Binti huyo katika viwanja vyake vya kujiuzia mwili wake na kumwangushia kipigokizito kabla ya kumvua Nguo zote na kumtembeza Uchi njia nzima..

Post a Comment