FID Q:- VIDEO YA WAZO LA LEO ITASHUTIWA WIKI IJAYO


Stamina na Fid Q baada ya kuachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Wazo la leo na kupeleka mashabiki wengi wa Hip Hop kuwa kubali wasanii hawa wawili katika tasnia hii ya muziki.sasa leo fareed kubanda a.k.a Fid Q aliamua kufunguka kupitia katika ukurasa wa twitter baada ya kuulizwa na shabiki wake kuhusu video ya wazo la leo na akamjibu kwamba wanatarajia kufanya shooting ya ngoma hiyo wiki ijayo.Kama wewe ni shabiki wa Stamina au Fid Q kaa tayari kwa ujio huo mpya kutoka kwa wasanii hawa wawili.


Post a Comment

Previous Post Next Post