Msanii wa Hip Hop maarufu kama Kala Jeremiah baada ya kutoka na album
yake mpya inayofahamika kawa jina la Pasaka,sasa jana club maisha
aliweza kuizindua albam hiyo mpya kwa mashabiki wake huku akisindikizwa
na wasanii mbalimbali.Chanzo:Djfettyblog
Nash Emcee
Darasa
Dullayo
Kala Jeremiah
Roma
Ben Pol
Dullayo
Kala na Jokate wakiimba kwa pamoja
Baba John Noma Kweli
Baba Jonh:biashara ya kuuza chips usipime mtu wangu.
Ngilla,TID,Ad plus,Mshikaji
Post a Comment