KAZI: Mwanamuziki
MAKAZI: Mbezi, Dar
AMEYAPATAJE MAKALIO HAYO?
“Kusema kweli haya makalio nimeyarithi kwa upande wa mama zangu wadogo na shangazi zangu, ni wanene balaa.”
USUMBUFU ANAOUPATA
“Usumbufu ni mwingi sana kutoka kwa wanaume tofautitofauti, yaani wengi sana wananitaka niwe nao kimapenzi.”

Post a Comment