
Utafiti umeonesha kuwa 60% ya makahaba wanaopatikana katika nchi za
Ubeligiji na Italilia ni Raia kutoka nchini Nigeria. Utafiti huo umekuja
kutokana na kuongeza kwa matukio ya mauaji yanayowakumba makahaba hao
ambapo wiki iliyopita tu nchini Italia Kahaba kutoka Nigeia bi Franca
Abumeni Aliuwa katika misutu iliyopo jijini Rome. Aidha ripoti hiyo
imeonesha ongezeko kubwa la wahamiaji wanawake toka katika nchi hiyo
ukilinganishwa na miaka ya mwanzoni!
Post a Comment