Kocha
mkuu wa Yanga ya jijini Dar es Salaam, Tanzania ametaja Kikosi kamili
cha kwanza kitakachoshuka dimbani jioni hii katika mchezo wa kirafiki
kati yao na Denizlispor ya Uturuki. Kama ifuatavyo:- Golini aaanza Ally
Mustafa 'Bartez', Beki wa kushoto ni Jum Abdul, wa kulia ni Mbuyu Twite,
No 4 na 5 ni Calvin Yondan na Nadir Haroub 'Canavaro' Viungo wa kati
ni Athuman Idd 'Chuji', Simon Msuva na Nurdin Bakari, Juu ni Didier
Kavumbangu, Hamis Kiiza na Haruna Niyonzima. Mungu ibariki Dar Young
Africans amina.

Post a Comment