Mpenzi wa Kanye West, Kim Kardashian anatarajia kujifungua mwezi wa Saba
mwaka Huu. Kupitia Mahojiano na kipindi kimoja cha Televisheni nchini
Marekani Kim akiwa dada yake Kourtney amesema kuwa anafurahi tarehe yake
ya kujifungua kuangukia mwezi huo kwani ni sawa na mwezi ambao Kourtney
alijifungua, mbali na haya ni mwezi ambao ambao Prince William na Mkewe
wanatarajia kupata mtoto. "Vitu hivi huwa havipangwi, ni Bahati tu, Na
kuhusu ndoa sipendi kulizungumzi kwa sasa kwani tumeweka nguvu zetu
katika ujauzito tu" Ameeleza.
Post a Comment