KUMBE KASIM MGANGA NA Z - ANTON WANA BOONGE LA BEEF SIKILIZA HII NYIMBO
Hisia0
KASIM MGANGA AKASIRIKA KUWEKWA NYIMBO MOJA NA Z - ANTON KIASI CHA KUWA
MKALI SANA NA VITISHO VINGI LAKINI ALIPOULIZWA BOSS WA MTANASHATI
OSTAZ JUMA ALISEMA CASIM ALIMFATA AWE MENEJA WAKE BASI AKAMA CHORUS MOJA
BURE NA YEYE NDO AKAAMUA WALE WATU WAIMBE KWENYE IO NYIMBO
WOTE WAKIWA NI WALE WALIOKUA TIPTOP CONNECTION ZAMANI
Post a Comment