
Baada ya kuachia hit single yake ya kwanza na kukubalika na asilimia
99.9999... ya watanzania ambayo hiyo moja, hakika nimeiweka kwa ajili ya
ma hater maana ni wapo kila sehem, Kala Jeremiah atafanya uzinduzi wa
album yake ya kwanza aliyoipa jina la PASAKA yenye nyimbo 23, ndani ya
Maisha Club, kwa kiingilio cha shilingi 8000 tu akiwa na Darasa, Ben
Pol, Stamina, Dulayo, Nash mc na Roma. be there and support the dude.
Post a Comment