Kijana
Meng Weixin, 14, alizaliwa na ugonjwa wa ajabu ambao humpelekea miguu
yake kuvimba kama Puto, na vidole vyake kuwa kama machungwa. Kwa kuwa
kijana huyo ametoke a katika familia Masikini hakuwa na uwezo wa kumudu
gharama za Operation wala matibabu, Shukrani za pekee anazipeleka kwa
mwalimu wake wa shule ambaye alichukua picha zake na kuziweka katika
mtandao ambapo madakari kutoka hospitali moja Mjini Shanghai waliziona
na kuamu akumfanyia Operation hiyo bure. Kijana Meng anatarajiwa kuwa
katika hali ya kawaida kwa 70% baada ya kufanyiwa upasuaji kwa awamu
tatu hasa kwa mguu wa kulia.
Mtoto mwenye Miguu ya Ajabu Afanyiwa Upasuaji
Hisia
0
Post a Comment