Siku ya leo imekua kama historia kwa mwanadada Ola Ray aliyeigiza katika wimbo uliojipatia umaarufu zaidi kutoka kwa multi tilionea Michael Jackson, Kwani mwanadada huyo amelipwa kiasi cha $ 75000 za kimarekani kama malipo ya mda mrefu ya kazi aliyoifanya kwa kuigiza katika nyimbo ya Thlller.
Awali mwanadada huyo alifungua kesi ya madai hayo mwaka 2009, ikiwa mwezi mmoja tu kabla ya Hayati Michael jackson hajafariki, na kesi imetolewa hukumu leo na kuamuru familia ya Michael Jackson kulipa $75000 na mwanadada huyo apate $50,000 na $25,000 ziende kwa mwanasheria wa jiji hilo.
Post a Comment