

Msanii mwenye mvuto wa kipekee wa kimapenzi mwanadada Beyonce, ameng'aa
katika jarida la GQ Huku akijishaua na kuseme " Kwa sasa nasikiliza
wimbo wa make love to me, kisha naenda ku make love na mume wangu" Kwa
mujibu wa jarida la GQ Beyonce ndio mwanamke mwenye mvuto wa kimapenzi
zaidi kwa mwaka 2012.
Post a Comment