PICHA YA GARI LA OBAMA-'CHEKI TEKNOLOJIA ILIYOTUMIKA KUITENGENEZA NA KUJIHAMI '

 
Ndio, hiki unachokiona kwenye picha hii kinaitwa gari, ambalo anatumia mheshimiwa rais wa taifa korofi na lenye kupenda kujihisi mbabe wa dunia, namaanisha Marekani. Hebu litizame kwa uzuri, soma na maelezo ya kila kilichomo, kisha jiulize, kama hili linaitwa gari, hicho chombo chako cha usafiri unachotumia kinastahili kuitwa gari kweli?

Post a Comment

Previous Post Next Post