Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na
wanakijiji wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa
Pwani, kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na
wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani,
wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kaka yake Mzee Selemani
Kikwete kwa wanakijiji wenzake wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo
mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kwa
fashifashi na ngoma za utamaduni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipeana mkono
wa heri na wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma
za kienyeji

Wanakiji wa Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiangalia fashifashi
wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kijijini hapo

Post a Comment