The Expendables 3

Ni sahihi kusema kuwa The Expendables 3 ipo njiani, lakini ni nani ataungana na Sylvester Stallone, Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na wengine walionekana awali kwenye filamu hii ya wanaume wa shoka? Jackie Chan anaweza kuongezeka kuongeza utamu. Kuna tetesi pia Nicolas Cage na Wesley Snipes wanaweza kuingia kwenye treni hiyo ya Expendables.

Shooting ya muendelezo wa tatu wa Expendables inatarajia kuanza mwezi September na movie ikitarajiwa kutoka wakati wa kiangazi mwakani. Pia kumekuwepo na maongezi ya kuwajumuisha wakongwe Steven Seagal, Harrison Ford na Clint Eastwood ili waonekane kwenye Expendables 3.

Post a Comment

Previous Post Next Post