Picha hizo zimepigwa katika mikesha ya miziki ya usiku, maarufu kama
Vogodoro, angalia jinsi mabinti hao walivyokosa nidhamu na kucheza
kihasara hasara, mikesha hii huchochea na kuhamasisha ngono zembe ambayo
mwisho wake hupelekea kuongezeka kwa maambukizo ya Virusi vya UKIMWI.
Post a Comment