
Habari
zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna Ajali iliyotokea jioni ya leo
saa 11.Watoto saba,Dreva na mama mmoja wa kimasaai na watoto wake wote
wamefariki dunia.Wanafunzi 7 waliofariki wakilikuwa wamepanda gari(lift)
wakitokea shule Chalinze sekondari wakielekea maneo ya Mdaula.
Gari walilopata lift linanamba za usajili hizi T363 AZG ,Tutawaletea picha za jali hivi punde.
Post a Comment