Taarifa zilipatika sasa hivi ni kuwa
Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Mirefu Zanzibar, Evarist Mushi
amefariki dunia baada ya kupigwa risasi saa 1.00 asubuhi na kufariki
kabla hajafika hospitali ya Minazi Mirefu. Paroko huyu amepigwa risasi
akishuka katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00
leo.
R .I.P
Post a Comment