Leo katika kipindi cha XXL Diamond Plutnumz Ameulizwa swali kama ana
date na Penny ama la , Diamond kwa midomo yake amesema kuwa ha date na
Penny bali ni drama tu ya Movie yao wanayo act..picha zote zinazozunguka
mtandaoni wakiwa pamoja ni clips za movie...Je una Amini hili? mie Aku
Siamini....lol
Post a Comment