Dk Jacob Erasto Chimeledya kiongozi mpya Anglikana Tanzania

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana wa Dayosisi ya Mpwapwa, Dk Jacob Erasto
Chimeledya (56) amechaguliwa kuwa Askofu Mkuu mpya wa Kanisa la Anglikana
nchini.
Askofu huyo anarithi nafasi ya Askofu Valentino Mokiwa ambaye amemaliza
muda wake kwa mujibu wa katiba ya kanisa hilo.
Mkuu huyo mpya ataongoza kanisa hilo kwa kipindi cha miaka mitano na
anakuwa askofu mkuu wa sita.

Post a Comment

Previous Post Next Post