MASTER J:- STUDIO YANGU YA KWANZA KABISA 1996


Tumeona ma producer wachache sana wanapopata mafanikio hawawezi kuelezea maisha yao ya zamani katika muziki wetu wa Bongo Fleva.
Leo kupitia katika ukurasa wa Master J aliweza ku post picha katika ukurasa wake wa facebook akiwa studioni na kuandika'Dah!!! Studio yangu ya kwanza kabisa, MJ Records 1996. Hapa nilikua na marehemu mzee wangu. Alinifundisha mambo mengi sana kuhusu muziki.


Haya ni maoni mbalimbali kutoka kwa watu baada ya kuiona picha hiyo.

  • Joachim 'Master-j' Kimaryo @Cuthbert Kontena halipo tena, walishalichukua ndugu. Catherine anafanya kazi SA.
  • Laurian Cyril R.I.P dady but, tunaamini kibuyu ufuata mbegu au @MJ
  • Tusho Mayuni sor ma bro studio yako ya kwanza ilikuwa sehem gan?na ndo huo mwaka uliokuwa umetoka uk skul ma bro@king for producer in east afrika.m
  • Prince Macoper mj record ni studio iliyojengwa kwa msingi wa zege tofauti na studio nyingine,big up master j super producer mungu akupe maisha marefu ciao fratero
  • Amon Kapange Hongela sana man!
  • Jose Michael Kumbe wewe wakitambo enzi hizo niko moshi sijui A wala Be lakini nilikua nawasikia tu akina 2proud hongera sanana mungu azidi kukuwezesha.
  • Romyneez Mtumbuca Dah! Ume hustle xana mpaka hapo ulipo,endeleza kuchapa kazi,i wish u good 4rev. R.I.P UR LUV DADY.
  • Msando Alberto @ MJ nimeizoom nikasema dah kiongozi flat screen 1996 is mchezo! Ila am so proud of you brother, mi nimefika Dar 1998 nasikia jina! Its a blessing being associated with a hard working spirit! Still way to go, and I know you will get there brother
  • Joachim 'Master-j' Kimaryo @Msando True, thanx bro.
  • Emmanuel Ikupilika duh kaka nimejifunza kitu?kumbe mafanikio its not bout a day its ol bout huslin a plenty of fuckin years,man u made ma day b
  • King Mnyama Dah!!!! Hustles zimekufikisha hapa leo tisha sana MJ
  • George Mapunda Umetisha, nacki pindi hicho unavua viatu alafu unazama ndani. Big up.
  • Mbarouk Tumbo U knw what,A inaanza ndo huja B etc...We jembe,u the 1 among wakongwe wa hili game,1 day utakuwa legend we2,big up MJ re
  • Peris Peter Ukiamini haya utafika mbali hakuna jambo litakuja kirahisi x2 hastle zako zimekujenga mpk today ukatimiza dreams na nguvu ya mungu big xana mzee wako amekupa sapoti Master ni J mgodi wa goodMUSIC JAH€BLESS¥
  • Samali Msuya 96 dah..hichokipindi ulikuaunamaliza wiki studio bilakuona msanii mpya hahahahahahah..
  • Erick Kaneno Enzi hizoooooooooooooooooooo
  • Elliot Andrew A journey of thousand miles....begins with a single step

Post a Comment

Previous Post Next Post