Professional Choreographer kutoka Tanzania House of Talent (THT), Msami
Jiovani, weekend hii atafly kuelekea Marekani katika miji ya Washington
DC, LA,Ohio na NY kwa ajili ya kutoa mafunzo ya dance, kwa team ambayo
itashiriki mashindani ya World Jump Rope 2013, lakini licha ya kutoa
somo hilo Msami pia atajifunza vitu vingine vipyakatika tasnia ya
dance...
zaidi huyu hapa
zaidi huyu hapa
Bofya hapa
Inaaminika kuwa style ya kiduku, imeasisiwa nchini Tanzaniana THT, na watanzania tunajivunia kwa hilo, swali ni je Msami atakiwakilisha kiduku akifika huko ama?
Inaaminika kuwa style ya kiduku, imeasisiwa nchini Tanzaniana THT, na watanzania tunajivunia kwa hilo, swali ni je Msami atakiwakilisha kiduku akifika huko ama?

Post a Comment