Makamu Meya wa Manispaa ya Tianjin
kutoka China Bi. Zhang Junfang, (katikati ) akimvisha kitambaa
chenye michoro ya kiutamaduni, Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk.Fenella Mukangara wakati apomtembelea
leo ofisi kwake jijini Dares Salaam, ikiwa ni ishara ya ushirikiano wa
kiutamaduni baina ya nchi yake na Tanzania.Meya huyo yuko nchini kwa ajili ya
sherehe za mwaka wa Kichina zitakazoadhimishwa leo jioni kwenye uwanja wa
Mnazimmoja, Dar es Salaam. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu Mizengo
Pinda.
|
Post a Comment