Taarifa za kuaminika zilizorushwa na Radio Wapo katika kipindi chake cha patapata leo asubuhi, ni kwamba watu wasiojulikana wamelivamia kanisa moja huko Zanzibar na kulirushia kitu kama bomu kilicholipuka moto japo majirani waliamka na kuuzima moto huo kabla kuleta madhara makubwa.

Tukio hilo limejitokeza asubuhi ya leo kwenye mida ya saa kumi.


Hakuna chombo cha dola kilichofika eneo hilo hadi mida hii.