PICHA 15 ZA SHOO YA DIAMOND KIGOMA KATIKA MAAZIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM KIGOMA





Doki Akiwa na Young Talent Boy From Kigoma......!!
Diamond akimsikiliza young talent toka kigoma....hapa ndo nilipoamini
Kigoma tumejaaliwa vipaji dogo wa miaka 10 anarap
kuhusu Mapenzi kiundani kama mtu mzima ambae
 ametendwa na amepitia mengi
kwenye Mapenzi...!!

Kazi ikaanza sasa...taratibu mzigo ukaanzia chini

hammad! kiwanja kikawa kidogo ghafla...ikbidi turudi
kwa jukwaa


MIAKA MIA......!!
weeeeh....!
 
WAACHAAAAAFUUUUU.....!!
Team nzima ya Wasafi wakiwa na Dokii from Left Ramadhani Mpauka,
Mose Iyobo,Ema Platnum,
&Do-me Utamu....!!
Diamond akiwa na Asha Baraka & Doki....!!
WASAFI...

Post a Comment

Previous Post Next Post