Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akipigwa picha na kuchukuliwa alama vidole wakati alipokamilisha
taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi ya
leo, Ijumaa, Februari Mosi, 2013.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akitia saini Kitabulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za
kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi ya leo, Ijumaa,
Februari Mosi, 2013. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bwana Dickson E Maimu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiagana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Benki ya Dunia, Bwana Justin Yifu
Lin, leo, Ijumaa, Februari mosi, 2013 Ikulu, Dar es Salaam. Kulia ni
Balozi wa China katika Tanzania Mheshimiwa Lu Youqing.(Picha na IKULU).
Post a Comment