Rais
Mwai kibaki wa Kenya akikaribishwa kwa maua na Mwanafunzi Tazmina
Rasul(6) muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali
(State Visit) ya siku mbili huku mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Kikwete
akiangalia.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mwai Kibaki wa Kenya muda
mfupi baaada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere kwa ziara ya kiserikali (State Visit) ya siku mbili.
PICHA KWA HISANI YA FREDD MARO
Post a Comment