Waziri Mkuu wa Uspania, Mariano Rajoy, amekanusha vikali tuhuma kwamba alipokea malipo yasiyo rasmi kutoka mfuko wa siri.
Akihutubia kikao cha dharura cha chama chake cha
Popular Party, PP, Bwana Rajoy alisema "sikuwahi kupata pesa zisokuwa
halali", na aliahidi kuchapisha orodha ya pato lake.
Siku ya Alhamisi, gazeti la El Pais lilichapisha nyaraka ambazo lilisema ni akaunti za siri za chama cha PP.
Nyengine zilikuwa na jina la Bwana Rajoy
Post a Comment